Lenga kwa kutumia vitufe vya
ili kuteua vipengee, na kisha kubonyeza kitufe cha OK ili kuthibitisha uteuzi wako au kuendesha kipengele kilichoteuliwa.

Lenga kipengee cha mpangilio kwa kutumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK ili kuwasha au kuzima kipengee.

Ili kuingiza thamani, jina, anwani, na kadhalika, lenga uga wa ingizo kwa kutumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK ili kuonyesha kibodi iliyo kwenye skrini.
