Hutambaza pande zote mbili za kadi ya utambulisho na hunakili upande mmoja wa karatasi.

Weka nakala asili kwenye glasi ya kitambazaji.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, na kisha uwezeshe Nakala ya Kadi ya ID.
Bonyeza kitufe cha
.