Hunakili bila pambizo kwenye kingo. Taswira imekuzwa kidogo ili kuondoa pambizo kutoka kwenye kingo za karatasi.

Weka nakala asili kwenye glasi ya kitambazaji.
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, na kisha uwezeshe Nakala Isiyo na mipaka.
Bainisha Upanuzi.
Donoa
kwenye kichupo cha Nakili.