> Kutuma Faksi > Kupokea Faksi kwenye Kompyuta > Kuangalia Faksi Mpya (Windows) > Kutumia Ikoni ya Faksi kwenye Mwambaa wa Kazi wa (Windows)

Kutumia Ikoni ya Faksi kwenye Mwambaa wa Kazi wa (Windows)

Unaweza kuangalia faksi mpya na hali ya operesheni kwa kutumia ikoni ya faksi iliyoonyeshwa kwenye mwambaa wa kazi wa Windows.

  1. Angalia ikoni.

    • : kukaa ange.
    • : kuangalia faksi mpya.
    • : kuleta faksi mpya kumekamilika.
  2. Bofya kulia kwenye ikoni, na kisha ubofye View Receiving Fax Record.

    Skrini ya Receiving Fax Record inaonyeshwa.

  3. Angalia tarehe na mtumaji kwenye orodha, na kisha ufungue faili ya PDF.

    Kumbuka:
    • Faksi zilizopokewa zinabadilishwa jina kiotomatiki kwa kutumia umbizo lifuatalo la utoaji majina.

      YYYYMMDDHHMMSS_xxxxxxxxxx_nnnnn (Mwaka/Mwezi/Siku/Saa/Dakika/Sekunde_nambari ya mtumaji)

    • Pia unaweza kufungua kabrasha la faksi iliyopokewa moja kwa moja unapobofya ikoni ya kulia. Kwa maelezo, tazama Optional Settings kwenye msaada wa FAX Utility (yanayoonyeshwa kwenye dirisha kuu).

Wakati ikoni ya faski huonyesha kuwa inakaa ange, unaweza kuangalia faksi mpya papo hapo kwa kuteua Check new faxes now.