Wakati muunganisho wa Wi-Fi Direct wa (AP Rahisi) unalemazwa, kompyuta zote na vifaa maizi vilivyounganishwa kwenye kichapishi katika muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) vinatenganishwa. Iwapo unataka kukata muunganisho wa kifaa maalum, kata muunganisho kutoka kwenye kifaa badala ya kichapishi.
Donoa
kwenye skrini ya nyumbani.
Teua Wi-Fi Direct.
Maelezo ya Wi-Fi Direct yanaonyeshwa.
Donoa Anza Kusanidi.
Donoa
.
Teua Lemaza Wi-Fi Direct.
Donoa Lemaza mipangilio.
Wakati ujumbe wa ukamilisho umeonyeshwa, funga skrini.
Skrini hufunga kiotomatiki baada ya kipindi maalum cha muda.
Funga skrini ya Mipangilio ya Muunganis. Mtandao.