> Kukarabati Kichapishi > Kusafisha Kichapishi

Kusafisha Kichapishi

Iwapo vijenzi na kesi ni chafu au ina vumbi, zima kichapishi na uvisafishe kwa kutumia kitambaa safi laini ambacho kimeloweshwa kwa maji. Iwapo huwezi kuondoa uchafu, jaribu kuongeza kiwango kidogo cha sabuni kwa kitambaa chenye unyevu.

Muhimu:
  • Kuwa makini ili usimwage maji ndani ya mtambo wa kichapishi au viambajengo vyake vya kielektroniki. La sivyo, kichapishi kinaweza kuharikibika.

  • Usitumia pombe au kiyeyusha rangi kusafisha vijenzi na kifuniko. Kemikali hizi zinaweza kuziharibu.

  • Usiguse sehemu zinazoonyeshwa kwenye mfano. Ukifanya hivyo unaweza kusababisha hitalifu.