> Kutuma Faksi > Kupokea Faksi kwenye Kompyuta > Kukatisha Kipengele Kinachohifadhi Faksi Zinazoingia kwenye Kompyuta

Kukatisha Kipengele Kinachohifadhi Faksi Zinazoingia kwenye Kompyuta

Unaweza kukatisha kuhifadhi faksi kwenye kompyuta kwa kutumia FAX Utility.

Kwa maelezo, tazama Basic Operations kwenye msaada wa FAX Utility (yanayoonyeshwa kwenye dirisha kuu).

Kumbuka:
  • Iwapo kuna faksi zozote ambazo zimehifadhiwa kwenye kompyuta, huwezi kukatisha kipengele kinachohifadhi faksi kwenye kompyuta.

  • Pia unaweza kubadilisha mipangilio kwenye kichapishi. Wasiliana na msimamizi wako kwa maelezo kwenye mipangiio ya ukatishaji ili kuhifadhi faksi kwenye kompyuta.