> Utambazaji > Kutambaza Nakala Asiili kwenye Wingu

Kutambaza Nakala Asiili kwenye Wingu

Kabla ya kutumia kipengele hiki, fanya mipangilio kwa kutumia kipengele cha Epson Connect. Tazama tovuti ifuatayo ya kituo Epson Connect kwa maelezo.

https://www.epsonconnect.com/

http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)

  1. Weka nakala za kwanza.

    Kuweka Nakala Asili

  2. Teua Changanua > Wingu kwenye paneli dhibiti.

  3. Teua upande wa juu wa skrini, na kisha uteue mafikio.

  4. Unda mipangilio ya utambazaji.

    Chaguo za Menyu Msingi za Kutambaza kwenye Wingu

    Chaguo za Menyu Mahiri za Kutambaza kwenye Wingu

  5. Donoa .