> Utambazaji > Maelezo Msingi kuhusu Utambazaji > Umbizo Linalopendekezwa La Faili ili Kukidhi Madhumuni Yako

Umbizo Linalopendekezwa La Faili ili Kukidhi Madhumuni Yako

Kijumla, umbizo la JPEG linafaa kwa picha huku lile la PDF linafaa nyaraka.

Angalia maelezo yafuatazo ili kuchagua muundo boa kwa kile unachotaka kufanya.

Umbizo la Faili

Ufafanuzi

JPEG (.jpg)

Umbizo la faili linalokuruhusu kubana data ya kuhifadhi. Ikiwa viwango vya kubana ni vya juu, ubora wa taswira hukataa na huwezi kubadlisha taswira katika ubora asili tena.

Hili ndilo umbizo la kawaida la taswira kwa kamera za kidijitali. Umbizo hili linafaa kwa taswira ambazo zina rangi nyingi.

PDF (.pdf)

Umbizo la kawaida la faili linaloweza kutumiwa katika mifumo mbalimbali ya uendeshaji na hutoa kiwango sawa cha onyesho kwenye skrini na matokeo ya uchapishaji.

Pia, unaweza kuhifadhi kurasa nyingi kama faili moja.

Unaweza kuangalia faili za PDF ukitumia programu maalum za kusoma PDF au katika kivinhjari cha Wavuti.