> Kutatua Matatizo > Karatasi Zinakwama

Karatasi Zinakwama

Angalia hitilafu inayoonyeshwa kwenye paneli dhibiti na ufuate maelekezo ili uondoe karatasi iliyokwama ikiwa ni pamoja na vipande vilivyoraruka. Bkisha, futa hitilafu.

Muhimu:
  • Ondoa karatasi iliyokwama kwa uangalifu. Kuondoa karatasi kwa nguvu kunaweza kusababisha uharibifu wa printa.

  • Wakati unaondoa karatasi iliyokewama, epuka kuinamisha kichapishi, usikiweke wima, au kuigeuza upande wa chini kuangalia juu; la sivyo wino utavuja.