Unaweza kupata menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Sogora ya Mpangilio wa faksi
Huwezi kuonyesha menyu hii kwenye skrini ya Web Config.
Kuteua Sogora ya Mpangilio wa faksi huunda mipangilio msingi ya faksi. Fuata maagizo ya kwenye skrini.
Mipangilio Msingi
Kutayarisha Kichapishi Kutuma na Kupokea Faksi