> Kutuma Faksi > Kupokea Faksi kwenye Kompyuta > Kuangalia Faksi Mpya (Mac OS) > Fungua Kabrasha la Faski Iliyopokerwa kutoka kwenye Kifuatiliaji cha Faksi Iliyopokewa (Mac OS)

Fungua Kabrasha la Faski Iliyopokerwa kutoka kwenye Kifuatiliaji cha Faksi Iliyopokewa (Mac OS)

Unaweza kufungua kabrasha la kuhifadhi kutoka kwenye kompyuta iliyobainishwa ili kupokea faksi unapoteua "Save" (save faxes on this computer).

  1. Bofya ikoni ya ufuatiliaji wa faksi iliyopokewa kwenye Dock ili kufungua Fax Receive Monitor.

  2. Teua kichapishi na ubofye Open folder, au bofya mara mbili jina la kichapishi.

  3. Angalia tarehe na mtumaji kwenye jina la faili, na kisha ufungue faili ya PDF.

    Kumbuka:

    Faksi zilizopokewa zinabadilishwa jina kiotomatiki kwa kutumia umbizo lifuatalo la utoaji majina.

    YYYYMMDDHHMMSS_xxxxxxxxxx_nnnnn (Mwaka/Mwezi/Siku/Saa/Dakika/Sekunde_nambari ya mtumaji)

    Maelezo yaliyotumwa kutoka kwa mtumaji yanaonyeshwa kama nambari ya mtumaji. Huendanambari hii isionyeshwe kulingana na mtumaji.