Futa akaunti iliyosajiliwa ili kufikia udhibiti.
Fikia Web Config na uteue kichupo cha Product Security > Access Control Settings > User Settings.
Bofya Edit kwa nambari unayotaka kufuta.
Bofya Delete.
Unapobofya Delete, akaunti ya mtumiaji itafutwa bila ujumbe wa uthibitisho. Tahadhari unapofuta akaunti.
Rudi kwenye orodha ya mpangilio wa mtumijai baada ya kipindi maalum cha muda.