Suluhisho
Kwenye paneli dhibiti, teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Printa > Kiolesura cha Kifaa cha Kumbukumbu, kisha uwezeshe kifaa cha kumbukumbu.