Unaweza kunakili nakala asili za ukubwa thabiti au ukubwa maalum kwa rangi au rangi moja.
Weka nakala za kwanza.
Kuweka Nakala Asili
Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.
Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, na kisha uteue N. na N'pe au Rangi.
Donoa .