Unaweza kulemaza Uchujaji wa IPsec/IP au IEEE 802.1X ukitumia paneli dhibiti ya kichapishi.
Teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Mtandao.
Teua Mahiri.
Teua kipengee kati ya vifuatavyo unachotaka kulemaza.
Teua Anza Kusanidi kwenye skrini ya uthibitishaji.