> Maelezo ya Msimamizi > MMipangilio ya Kutumia Kichapishi > Kufanya Waasiliani Kupatikana > Kusajili Waasiliani Wanaotumiwa Mara kwa mara

Kusajili Waasiliani Wanaotumiwa Mara kwa mara

Unaposajili waasiliani wanaotumiwa mara kwa mara, waasiliani wanaonyeshwa upande wa juu wa skrini unapobainisha anwani.

  1. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Teua Kisimamia Waasiliani, na kisha uteue Mara kwa mara.

  3. Chagua aina ya anwani unayotaka kusajili.

  4. Teua Hariri.

    Kumbuka:

    Ili kuhariri mpangilio wa waasiliani, teua Panga.

  5. Teua waasiliani wanaotumiwa mara kwa mara ambao unataka kusajili, na kisha uteue OK.

    Kumbuka:
    • Ili kuondoa uteuzi kwa mwasiliani, mdonoe tena.

    • Unaweza kutafuta anwani kutoka kwa orodha ya waasiliani. Ingiza nenomsingi la utafutaji kwenye kikasha upande wa juu wa skrini.

  6. Teua Funga.