Kabla ya kutambaza, sakinisha Epson iPrint kwenye kifaa chako maizi.
Skrini za Epson iPrint zinaweza kubadilika bila wewe kuarifiwa.
Maudhui ya Epson iPrint yanaweza kuwa tofauti kwa kutegemea bidhaa.
Weka nakala za kwanza.
Anzisha Epson iPrint.
Donoa Scan kwenye skrini ya nyumbani.
Donoa Scan.
Unaweza kuweka mipangilio ya utambazaji. Donoa aikoni ya
katika sehemu ya juu kulia ya skrini.
Kutambaza kunaanza.
Angalia taswira iliyotambazwa, kisha uteue mbinu ya kuhifadhi.
: huonyesha skrini ambapo unaweza kuhifadhi taswira zilizotambazwa.
: huonyesha skrini ambapo unaweza kutuma taswira zilizotambazwa kupitia barua pepe.
: huonyesha skrini ambapo unaweza kuchapisha taswira zilizotambazwa.
Hatimaye, fuata maelekezo kwenye skrini.