Ulinganishi wa Usanidi wa Waasiliani

Kuna zana tatu za kusanidi waasiliani wa kichapishi: Web Config, Epson Device Admin, na paneli dhibiti ya kichapishi. Tofauti kati ya zana hizi tatu zimeorodheshwa kwenye jedwali la hapa chini.

Vipengele

Web Config

Epson Device Admin

Paneli dhibiti ya kichapishi

Kusajili mafikio

Kuhariri mafikio

Kuongeza kikundi

Kuhariri kikundi

Kufuta mafikio au vikundi

Kufuta mafikio yote

Kuleta faili

Kuhamisha hadi kwenye faili

Kupangia mafikio ya kutumia kila mara

Kupanga mafikio yaliyopangiwa kutumiwa kila mara

Kumbuka:

Kadhalika, unaweza kusanidi mafikio ya faksi kwa kutumia FAX Utility.