Kuleta Waasiliani

Leta mawasiliano ya waasiliani kutoka kwenye faili.

Unaweza kuleta faili zilizohifadhiwa kwenye umbizo la SYLK au umbizo la csv au faili ya jozi iliyochelezwa inayojumuisha vipengee vya usalama.

  1. Anzisha Epson Device Admin.

  2. Teua Devices kwenye mwambaa wa kabdo wa menyu ya kazi.

  3. Teua kifaa unachotaka kusanidi kutoka kwenye orodha ya kifaa.

  4. Bofya Device Configuration kwenye kichupo cha Home kwenye menyu ya riboni.

    Wakati nywila yamsimamizi imewekwa, ingiza nywila na ubofye OK.

  5. Bofya Common > Contacts.

  6. Bofya Browse kwenye Import.

  7. Teua faili unayotaka kuleta, na kisha ubofye Open.

    Unapoteua faili ya jozi, kwenye Password ingiza nywila uliyoweka unapohamisha faili.

  8. Bofya Import.

    Skrini ya uthibitisho inaonyeshwa.

  9. Bofya OK.

    Matokeo ya uhalalishaji yanaonyeshwa.

    • Edit the information read
      Bofya unapotaka kuhariri maelezo kibinafsi.
    • Read more file
      Bofya unapotaka kuleta faili anuwai.
  10. Bofya Import, na kisha ubofye OK kwenye skrini ya ukamilishio wa kuleta.

    Rudi kwenye skrini ya sifa ya kifaa.

  11. Bofya Transmit.

  12. Bofya OK kwenye ujumbe wa uthibitisho.

    Mipangilio inatumwa kwenye kichapishi.

  13. Kwenye skrini ya ukamilisho wa kutuma, bofya OK.

    Maelezo ya kichapishi yamesasishwa.

    Fungua waasiliani kutoka kwenye Web Config au paneli ya udhibiti ya kichapishi, na kisha uhakikishe kuwa mwasiliani amesasishwa.