> Maelezo ya Bidhaa > Maelezo ya Programu > Programu ya Kuchapisha > Programu ya Kuchapisha kwa Urahisi kutoka katika Programu ya Android (Epson Print Enabler)

Programu ya Kuchapisha kwa Urahisi kutoka katika Programu ya Android (Epson Print Enabler)

Epson Print Enabler ni programu ambayo hukuruhusu kuchapisha hati, barua pepe, picha na kurasa za wavuti pasiwaya moja kwa moja kutoka katika simu au kompyuta yako kibao (Toleo la Android v4.4 au jipya zaidi). Kwa kudonoa mara chache tu, kifaa chako cha Android kinaweza kugundua kichapishi cha Epson ambacho kimeunganishwa kwenye mtandao sawa pasiwaya.

Tafuta na usakinishe Epson Print Enabler kutoka Google Play.