Iwapo shirika lako lina msimamizi wa kichapishi, wasiliana na msimamizi wako ili kuangalia hali ya mipangilio ya kichapishi.
Faksi zilizopokewa zinaweza kuhifadhiwa kwenye kichapishi, na unaweza kuvitazama kwenye skrini ya kichapishi. Unaweza kuchapisha tu faksi unazotaka kuchapisha au kufuta faksi zisizohitajika.
Yafuatayo yanaweza kuwekwa kama mafikio.
Kompyuta (mapokezi ya KOMPYUTA-FAKSI)
Kifaa cha kumbukumbu ya nje
Anwani ya barua pepe
Kabrasha lililoshirikiwa kwenye mtandao
Mashine nyingine ya faksi
Data ya faksi inahifadhiwa kama umbizo la PDF.
Hati za rangi haziwezi kusambazwa kwenye mashine nyingine ya faksi. Huchakatwa kama hati ambazo zilishindwa kusambazwa.
Unaweza kupanga na kuhifadhi faksi zilizopokewa kwenye Kikasha pokezi chako au vikasha vya bodi ya matobo. Unaweza pia kusambaza faksi zilizopokewa katika mafikio Kando na kichapishi.
Anwani ya barua pepe
Kabrasha lililoshirikiwa kwenye mtandao
Mashine nyingine ya faksi
Data ya faksi inahifadhiwa kama umbizo la PDF.
Hati za rangi haziwezi kusambazwa kwenye mashine nyingine ya faksi. Huchakatwa kama hati ambazo zilishindwa kusambazwa.
Unaweza kuchapisha seti ya masharti ya kuhifadhi/kusambaza kwenye kichapishi. Teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani, na kisha uteue
(Zaidi) > Ripoti ya Faksi > Or. Masharti ya H'dhi/Sambaza.
Iwapo shirika lako lina msimamizi wa kichapishi, wasiliana na msimamizi ili kuweka au kubadilisha hali za kuhifadhi/kutuma mbele.
Kwa msimamizi, tazama “Maelezo Husiani” hapa chini ili kuangalia au kubadilisha mipangilio.