> Maelezo ya Bidhaa > Maelezo ya Programu > Programu ya Utambazaji > Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)

Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)

Programu hii hukuruhusu kutambaza nyaraka kwa urahisi na kisha kuhifadhi tasiwira zilizotambazwa kwa hatua rahisi.

Angalia msaada wa Epson ScanSmart kwa maelezo kuhusu kutumia vipengele hivi.

Kuanzia kwenye Windows
  • Windows 10

    Bofya kitufe cha kuwasha, na kisha uteue Epson Software > Epson ScanSmart.

  • Windows 8.1/Windows 8

    Andika jina la programu katika sehemu ya utafutaji, na kisha uchague ikoni inayoonekana.

  • Windows 7

    Bofya kitufe cha kuwasha kisha uteue Programu Zote > Epson Software > Epson ScanSmart.

Kuanzia kwenye Mac OS

Teua Nenda > Programu > Epson Software > Epson ScanSmart.