Epson Device Admin ni programu ya utendakazi anuwai ambayo hudhibiti kifaa kwenye mtandao.
Utendakazi ufuatao unapatikana.
Fuatilia au udhibiti vichapishi au vitambazaji hadi 2000 kwenye sehemu
Weka ripoti ya kina, kama vile hali ya kutumika au bidhaa
Sasisha kifaa thabiti cha bidhaa
Unganisha kifaa kwenye mtandao
Weka mipangilio jumuishwa kwenye vifaa vingi.
Unaweza kupakia Epson Device Admin kutoka kwenye tovuti ya msaada ya Epson. Kwa maelezo zaidi, angalia hati au msaada wa Epson Device Admin.