Suluhisho
Endesha Web Config, kisha uchague Port9100 kama mipangilio ya Itifaki Kipaumbele katika AirPrint Setup. Teua Mapendeleo ya Mfumo kwenye menyu ya Apple > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi), ondoa kichapishi kisha ukirejeshe tena.