> Kuchapisha > Kuchapisha Nyaraka > Kuchapisha kutoka kwenye Kompyuta — Windows > Kuchapisha ili Itoshee Katika Ukubwa wa Karatasi

Kuchapisha ili Itoshee Katika Ukubwa wa Karatasi

Teua ukubwa wa karatasi uliyopakia kwenye kichapishi kama mpangilio wa Ukubwa wa Karatasi Elekea.

Kumbuka:

Kipengele hiki hakipatikani na uchapishaji usio na mipaka.

  1. Kwenye kichupo cha kiendeshi cha kichapishi cha Chaguo Zaidi, chukua hatua zifuatazo.

    • Ukubwa wa Waraka: teua ukubwa wa karatasi uliyoweka kwenye miapngilio ya programu.
    • Karatasi ya Zao: teua ukubwa wa karatasi uliyoingiza katika kichapishi.
      Tosheleza kwenye Ukurasa huteuliwa kiotomatiki.
    Kumbuka:

    Bofya Katikati ili kuchapisha tasiwra iliyopunguzwa katikati ya karatasi.

  2. Weka vipengele hivyo vingine kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi inavyohitajika, na kisha ubofye SAWA.

    Kichupo cha Kuu

    Kichupo cha Chaguo Zaidi

  3. Bofya Chapisha.