Kuangalia Hali Ya Muunganisho

Tumia Epson iPrint kuangalia hali ya muunganisho ya kifaa maizi na kichapishi.

Angalia yafuatayo ili kusakinisha Epson iPrint ikiwa tayari haijasakinishwa.

Programu ya Kuchapisha kwa Urahisi Kutoka katika Kifaa Maizi (Epson iPrint)

  1. Kwenye kifaa maizi, washa Epson iPrint.

  2. Angalia ikiwa jina la kichapishi linaonyeshwa kwenye skrini ya nyumbani.

    Jina la kichapishi likionyeshwa, muunganisho umefaulu kuwekwa kati ya kifaa maizi na kichapishi.

    Iwapo yafuatayo yameonyeshwa, muunganisho haujawekwa kati ya kifaa maizi na kichapishi.

    • Printer is not selected.
    • Communication error.

Angalia yafuatayo ikiwa muunganisho haujawekwa.

Angalia yafuatayo ikiwa muunganisho haujawekwa.