Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Huwezi kubadilisha mipangilio iliyozuiwa na msimamizi wako.
Huonyesha kama printa imesajiliwa na imeunganishwa kwenye Epson Connect.
Unaweza kusajili kwenye huduma kwa kudonoa Sajili na ufuate maagizo.
Wakati umesajiliwa, unaweza kubadilisha mipangilio ifuatayo.
Sitisha/Endelea
Batilisha usajili
Kwa maelezo, tazama tovuti ifuatayo.
http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)