Huenda vipengee visipatikane kulingana na mipangilio mingine uliyofanya.
Teua iwapo utatambaza kwenye rangi au katika rangi moja.
N. na N'pe
Hunakili nakala asili katika rangi nyeusi na nyeupe (rangi moja).
Rangi
Hunakili nakala asili katika rangi.
Ongeza kiwango cha uzito wakati matokeo ya kunakili yamefifia. Punguza kiwango cha uzito wino unapomwagika.
Chagua chanzo cha karatasi ambacho unataka kutumia. Wakati Oto imeteuliwa, karatasi linaingizwa kiotomatiki kwa kutumia mipangilio ya Mipangilio ya Karatasi iliyoundwa ulipopakia karatasi.
Husanidi mgao wa ukuzaji wa upanuaji au upunguzaji. Donoa thamani na ubainishe ukuzaji unaotumika kuongeza au kupunguza nakala asili ndani ya masafa ya 25 hadi 400%.
Oto
Kuza au punguza nakala ya kwanza kiotomatiki kwa ukubwa wa karatasi. Kwa mfano, ukiweka ukubwa wa karatasi kuwa A6 na uweke ukubwa wa karatasi kuwa A4, ukuzaji hurekebishwa kiotomatiki kuwa 200%.
Wakati kuna pambizo nyeupe kwenye nakala asili, pambizo hizo nyeupe kutoka kwenye alama (
) ya kona ya kioo cha kitambazaji zinatambuliwa kama eneo la kutambaza, lakini pambizo katika upande mkabala zinaweza kupunwa.

Pu. ili Itoshee Kar'i
Hunakili picha zilizotambazwa kwa ukubwa mdogo kuliko thamani ya Pung/Ong'a ili kutoshea ndani ya ukubwa wa karatasi. Iwapo thamani ya Pung/Ong'a ni kubwa kuliko ukubwa wa karatasi, huenda data ikachapishwa zaidi ya kingo za karatasi.
Saizi Halisi
Hunakili kwa ukuzaji wa 100%.
A4→A5 na nyingine
Hukuza au kupunguza nakala asili kiotomatiki ili kutoshea kwenye ukubwa wa karatasi bainifu.
Teua aina ya nakala yako asili. Hunakili katika ubora wa juu ili kulingana na aina ya hati halisi.
Teua muundo wa pande 2.
1→Upande 1
Hunakili upande mmoja wa hati halisi kwenye karatasi ya upande moja.
2>Pande 2
Hunakili pande zote za hati halisi kwenye pande mbele ya karatasi moja. Teua mwelekeo wa nakala asili na eneo la kuunganisha nakala asili na karatasi.
1>Pande 2
Hunakili hati halisi zenye pande mbele kwenye pande mbili za karatasi moja. Teua mwelekeo wa nakala asili na eneo la kuunganisha karatasi.
2>Pande 1
Hunakili pande zote za hati halisi kwenye upande mmoja wa karatasi moja. Teua mwelekeo wa nakala yako asili na nafasi ya muunganisho ya nakala asili.