> Utambazaji > Kutambaza Nakala Asili kwenye Barua pepe > Chaguo za Menyu za Mpokeaji za Kutambaza kwenye Barua pepe

Chaguo za Menyu za Mpokeaji za Kutambaza kwenye Barua pepe

Kibodi:

Weka anwani ya barua pepe mwenyewe.

Waasiliani:

Chagua eneo kutoka kwenye orodha ya waasiliani.

Unaweza kutafuta mwasiliani kutoka kwa orodha ya waasiliani. Ingiza nenomsingi la utafutaji kwenye kisanduku upande wa juu wa skrini.

Historia:

Teua anwani kutoka kwenye orodha ya historia.