Kuhariri Akaunti ya Mtumiaji

Hariri akaunti iliyosajiliwa ili kufikia udhibiti.

  1. Fikia Web Config na uteue kichupo cha Product Security > Access Control Settings > User Settings.

  2. Bofya Edit kwa nambari unayotaka kuhariri.

  3. Badilisha kila kipengee.

  4. Bofya Apply.

    Rudi kwenye orodha ya mpangilio wa mtumijai baada ya kipindi maalum cha muda.