> Kuweka Karatasi > Kuweka Karatasi > Kupakia Karatasi Ndefu

Kupakia Karatasi Ndefu

  • Trei ya karatasi

    Pakia karatasi ndefu kwenye trei ya karatasi kwa kuruhusu ukingo uliotangulia wa karatasi uzunguke. Teua Iliyofasiliwa na Mtumiaji kama mpangilio wa ukubwa wa karatasi.

    • Hakikisha kingo ya karatasi imekatwa kiwima. Kukata kwa njia ya kimlalo kunaweza kusababisha matatizo ya kuingiza karatasi.

    • Karatasi ndefu haiwezi kushikiliwa kwenye trei towe. Tayarisha kikasha na kadhalika ili kuhakikisha kuwa karatasi haianguki kwenye sakafu.

    • Usiguse karatasi inayoingizwa au kuondolewa. Inaweza kuumiza mkono wako au kusababisha ubora wa chapisho kukataliwa.

  • Kaseti ya karatasi

    Refusha kaseti ya karatasi ili kupakia karatasi ndefu. Teua Iliyofasiliwa na Mtumiaji kama mpangilio wa ukubwa wa karatasi.