Tarehe na Saa Sio Sahihi

KosaKosa lilitokea kwenye usambazaji wa nishati.

Suluhisho

Baada ya kupotea kwa stima kunakosababishwa na radi au ikiwa kifaa kimezimwa kwa muda mrefu saa inaweza kuonyesha wakati usio sahihi. Weka tarehe na saa kwa usahihi kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio Msingi > Mipangilio ya Tarehe/Saa kwenye paneli dhibiti.