Haiwezi Kuunda CSR

Common Name haijaingizwa.

Lazima Common Name liingizwe.

Vibambo visivyoauniwa vimeingizwa kwenye Common Name, Organization, Organizational Unit, Locality, na State/Province.

Ingiza vibambo vya IPv4, IPv6, jina la kipangishi, au umbizo la FQDN kwenye ASCII (0x20–0x7E).

Koma au nafasi inajumuishwa kwenye Common Name.

Iwapo koma imeingizwa, Common Name linagawanywa katika sehemu hiyo. Iwapo nafasi tu ndiyo imeingizwa kabla au baada ya koma, kosa hutokea.