Hurekebisha rangi kikuli. Kwenye Mipangilio Iliyoboreshwa, unaweza kuteua mipangilio ya kina.
Hutoa picha nzuri zaidi na rangi dhahiri zaidi kwa kurekebisha ulinganuaji, ukifishwaji, na uangavu wa data ya kwanza ya picha kiotomatiki.
Chapisha bila kuboresha au kurekebisha rangi kwa njia yoyote.