Kusanidi AirPrint

Weka unapotumia uchapishaji na utambazaji wa AirPrint.

Fikia Web Config na uteue kihupo cha Network > AirPrint Setup.

Vipengele

Ufafanuzi

Bonjour Service Name

Ingiza huduma ya Bonjour yenye vibambo kati ya 1 na 41 katika ASCII (0x20 hadi 0x7E).

Bonjour Location

Ingiza maelezo ya eneo kama vile uwekaji wa kichapishi ndani ya biti 127 au chini katika Unicode (UTF-8).

Geolocation

Latitude and Longitude (WGS84)

Ingiiza maelezo ya eneo ya kichapishi. Ingizo hili ni la hiari.

Ingiza thamani kwa kutumia WGS-84 datum, ambayo hutenganisha latitudo na longitudo kwa koma.

Unaweza kuingiza -90 hadi +90 kama thamani ya latitudo, na -180 hadi +180 kama thamani ya longitudo. Unaweza kuingiza chini ya desimali hadi nafasi ya sita, na unaweza kukosa kujumuisha “+”.

Top Priority Protocol

Teua itifaki ya kipaumbele cha juu kutoka IPP na Kituo cha 9100.

Wide-Area Bonjour

Weka iwapo utatumia Wide-Area Bonjour au la. Iwapo utakitumia, lazima kichapishi kisajiliwe kwenye seva ya DNS ili kuweza kutafuta kichapishi juu ya sehemu.

Require PIN Code when using IPP printing

Teua iwapo utahitaji msimbo wa PIN unapotumia uchapishaji wa IPP au la. Iwapo utateua Yes, kazi za uchapishaji za IPP bila misimbo ya PIN hazijahifadhiwa kwenye kichapishi.

Enable AirPrint

IPP, Bonjour, AirPrint (Huduma ya utambazaji) umewezeshwa, na IPP huwekwa kwa mawasiliano salama pekee.