Tazama jedwali lifuatalo kwa vipimo vya Wi-Fi.
|
Nchi au maeneo isipokuwa yaliyoorodheshwa hapa chini |
Jedwali la A |
||
|
Australia Nyuzilandi Uchina Hong Kong Korea Kusini |
Jedwali la B |
||
|
Viwango |
IEEE 802.11b/g/n*1 |
|
Masafa ya Mawimbi |
2.4 GHz |
|
Chaneli |
1/2/3/4/5/6/7/8/9/10/11/12*2/13*2 |
|
Modi za Uratibu |
Miundomsingi, Wi-Fi Direct (AP Rahisi)*3*4 |
|
Itifaki ya Usalama*5 |
WEP (64/128bit), WPA2-PSK (AES)*6, WPA3-SAE (AES), WPA2/WPA3-Enterprise |
*1 Inapatikana tu kwa HT20.
*2 Haipatikani Taiwani.
*3 Haiauniwi kwa IEEE 802.11b.
*4 Modi za muundmsingu na Wi-Fi Direct au muunganisho wa Ethaneti unaweza kutumika kwa wakati mmoja.
*5 Wi-Fi Direct huauni WPA2-PSK (AES) pekee.
*6 Hufuata viwango vya WPA2 kwa usaidizi kwa WPA/WPA2 wa Kibinafsi.
|
Viwango |
IEEE 802.11a/b/g/n*1/ac |
||
|
Masafa ya Wawimbi |
IEEE 802.11b/g/n: 2.4 GHz, IEEE 802.11a/n/ac: 5 GHz |
||
|
Chaneli |
Wi-Fi |
2.4 GHz |
1/2/3/4/5/6/7/8/9/10/11/12/13 |
|
5 GHz*2 |
W52 (36/40/44/48), W53 (52/56/60/64), W56 (100/104/108/112/116/120/124/128/132/136/140), W58 (149/153/157/161/165) |
||
|
Wi-Fi Direct |
2.4 GHz |
1/2/3/4/5/6/7/8/9/10/11/12/13 |
|
|
5 GHz*2 |
W52 (36/40/44/48) W58 (149/153/157/161/165) |
||
|
Modi za Muunganisho |
Miundomsingi, Wi-Fi Direct (AP Rahisi)*3, *4 |
||
|
Itifaki ya Usalama*5 |
WEP (64/128bit), WPA2-PSK (AES)*6, WPA3-SAE (AES), WPA2/WPA3-Enterprise |
||
*1 Inapatikana tu kwa HT20.
*2 Upatikanaji wa vituo hivi na matumizi ya bidhaa ya nje kupitia vituo hivi hutofautiana na eneo. Kwa maelezo zaidi, angalia http://support.epson.net/wifi5ghz/
*3 Haiauniwi kwa IEEE 802.11b.
*4 Modi za muundmsingu na Wi-Fi Direct au muunganisho wa Ethaneti unaweza kutumika kwa wakati mmoja.
*5 Wi-Fi Direct inatumia WPA2-PSK (AES) pekee.
*6 Hufuata viwango vya WPA2 kwa usaidizi kwa WPA/WPA2 wa Kibinafsi.