Sababu zifuatazo zinaweza kuzingatiwa.
Kebo ya USB haijachomekwa kwenye njia ya umeme ipasavyo.
Kuna tatizo na kitovu cha USB.
Kuna tatizo na kebo ya USB au upenyo wa kuingiza USB.