> Maelezo ya Bidhaa > Taarifa ya Udhibiti > Viwango na Vibali > Viwango na Vibali vya Modeli ya Ulaya

Viwango na Vibali vya Modeli ya Ulaya

Kwa watumiaji wa Ulaya

Seiko Epson Corporation inatangaza kuwa modeli ifuatayo ya kifaa cha redio inazingatia Maelekezo ya 2014/53/EU. Matini kamili ya azimio la EU la maafikiano linapatikana katika tovuti ifuatayo.

http://www.epson.eu/conformity

C762B

Kwa matumizi nchini Ayalandi, Uingereza, Austria, Ujerumani, Lishenteni, Uswisi, Ufaransa, Ubelgiji, Lusembagi, Uholanzi, Italia, Ureno, Uhispania, Denimaki, Ufini, Norwei, Uswidi, Aisilandi, Kroatia, Kibros, Ugiriki, Slovenia, Malta, Bulgaria, Ucheki, Estonia, Hungaria, Latvia, Lithuania, Polandi, Romani, na Slovakia.

Epson haitakubali wajibu wa kutoridhisha mahitaji ya ulinzi kunakotokana na urekebishaji wa bidhaa ambao haujapendekezwa.

Mawimbi

Nishati ya Mawimbi ya Redio ya juu zaidi Yanayopeperushwa

2400–2483.5 MHz

20 dBm (EIRP)