> Kutuma Faksi > Kuangalia Hali au Kumbukumbu za Kazi za Faksi > Kuchapisha upya Nyaraka Zilizopokewa

Kuchapisha upya Nyaraka Zilizopokewa

Unaweza kuchapisha upya nyaraka zilizopokewa kutoka kwenye kumbukumbu za kazi za faksi zilizochapishwa.

Kumbuka kuwa nyaraka zilizopokewa zilizochapishwa zinafutwa katika mpangilio wa mfuatano wakati kumbukumbu ya kichapishi inapungua.

  1. Donoa Hali ya Kazi kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Chagua Kumbukumbu katika kichupo cha Hali ya Kazi.

  3. Donoa upande wa kulia, na kisha uteue Chapisha.

    Historia ya kazi za faksi zilizotumwa au kupokewa inaonyeshwa katika mpangilio wa mfuatano wa kinyume.

  4. Teua kazi kwa kutoka kwenye orodha ya kumbukumbu.

    Angalia tarehe, saa, na matokeo ili kuthibitisha iwapo ni waraka unaotaka kuchapisha.

  5. Donoa Chapisha Tena ili kuchapisha waraka.