> Kutatua Matatizo > Ubora wa Kuchapisha, Kunakili na Kutambaza ni Duni > Matatizo ya Picha Iliyotambazwa > Mistari Sambamba Huonekana Unapotambaza kutoka kwenyeADF

Mistari Sambamba Huonekana Unapotambaza kutoka kwenyeADF

Kuna vumbi au uchafu kwenye ADF au nakala asili.

Suluhisho

Safisha ADF, na uondoe vumbi au uchafu wowote unaoambatana na nakala asili.