|
Vifaa |
Uwezo wa Juu zaidi |
|---|---|
|
Diski Kuu*1 Hifadhi ya USB |
2 TB (iliyoumbizwa katika FAT, FAT32, au exFAT.) |
|
Kisoma kadi nyingi*2 |
2 TB (iliyoumbizwa katika FAT, FAT32, au exFAT) |
*1: Hatupendekezi kutumia vifaa vya nje vya USB ambavyo vinawezeshwa na USB. Tumia vifaa vya USB vya nje pekee na vyanzo huru vya nishati ya AC.
*2: Ingiza kadi moja tu ya kumbukumbu kwenye kisoma kadi nyingi. Huwezi kutumia visoma kadi nyingi ulivyoingizia zaidi ya kadi mbili za kumbukumbu.
Huwezi kutumia vifaa vifuatavyo:
Kifaa ambacho kinahitaji kiendeshi maalum
Kifaa chenye mipangilio ya usalama (nenosiri, usimbaji fiche, na kuendelea)
Kifaa chenye kitovu cha USB kilichoundiwa ndani
Epson haiwezi kuhakikisha matumizi yote ya vifaa vilivyounganishwa vya nje.