Kuangalia na Kusafisha Kichwa cha Kuchapisha (Paneli Dhibiti)

  1. Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Teua Matengenezo > Ukgz Nozeli ya Kichwa Chapa.

  3. Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini kuchapisha ruwaza ya kukagua nozeli.

  4. Angalia ruwaza iliyochapishwa ili kuona iwapo nozeli za kichwa cha kuchapisha zimezibika.

    • A:
      Mistari yote imechapishwa. Teua . Hakuna hatua za ziada zinazohitajika.
    • B au karibu na B
      Baaadhi ya nozeli zimeziba. Teua , kisha uteue Usafishaji Kichwa cha Chapa kwenye skrini inayofuata.
    • C au karibu na C
      Iiwa laini nyingi hazipo au hazijachapishwa, hii inaonyesha kwamba nozeli nyingi zimeziba. Endesha Usafishaji wa Nishati. Kwa maelezo, tazama “Maelezo husiani” hapa chini.
  5. Wakati Usafishaji Kichwa cha Chapa umekamilika, chapisha tena ruwaza ya nozeli ya kagua. Rudia usafishaji na uchapishaji hadi mistari yote ichapishwe kabisa.

Muhimu:

Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kurudia kuangalia nozeli na kusafisha kichwa mara 3, subiri kwa angalau saa 12 bila kuchapisha kisha uangalie nozeli tena na urudie usafishaji wa kichwa ikiwa ni muhimu. Tunapendekeza uzime kichapishi kwa kutumia kitufe cha . Ikiwa ubora wa uchapishaji bado haujaimarika, endesha Usafishaji wa Nishati.