|
Vipengele |
Mipangilio na Ufafanuzi |
|---|---|
|
Key Length |
Teua urefu wa ufunguo kwa ajili ya CSR. |
|
Common Name |
Unaweza kuingiza vibambo kati ya 1 NA 128. Iwapo hii ni anwani ya IP, inapaswa kuwa anwani thabiti ya IP. Unaweza kuingiza anwani 1 hadi 5 za IPv4, anwani za IPv6, majina ya mpangishaji, FQDNs kwa kuvitenganishwa kwa koma. Kipengele cha kwanza kinahifadhiwa kwenye jina la kawaida na vingine vinahifadhiwa kwenye sehemu mbadala kwa mada ya cheti. Mfano: Anwani ya IP ya Kichapishi: 192.0.2.123, Jina la kichapishi: EPSONA1B2C3 Common Name: EPSONA1B2C3,EPSONA1B2C3.local,192.0.2.123 |
|
Organization/ Organizational Unit/ Locality/ State/Province |
Unaweza kuingiza nenosiri lenye vibambo kati ya 0 na 64 katika ASCII (0x20 hadi 0x7E). Unaweza kugawa majina teule kwa koma. |
|
Country |
Ingiza msimbo wa nchi katika nambari ya herufu mbili iliyobaninishwa na ISO-3166. |
|
Sender's Email Address |
Unaweza kuingiza anwani ya barua pepe ya mtumaji kwa mpangilio ya seva ya barua. Ingiza anwani sawa ya barua pepe kama Sender's Email Address kwa ajili ya kichupo cha Network > Email Server > Basic. |