Haiwezi Kuchpisha kutoka Mac OS

Hakikisha kwamba kompyuta na kichapishi vimeunganishwa ipasavyo.

Sababu na suluhu la tatizo hutofautiana kwa kutegemea iwapo vimeunganishwa au la.