> Kutatua Matatizo > Kichapishi Hakifanyi Kazi Inavyotarajiwa > Haiwezi Kutuma Au Kupokea Faksi > Haiwezi Kuhifadhi Faksi Zilizopokewa kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Haiwezi Kuhifadhi Faksi Zilizopokewa kwenye Kifaa cha Kumbukumbu

Sababu zifuatazo zinaweza kuzingatiwa.

MMpangilio wa kuhifadhi faksi zilizopokewa kwenye kumbukumbu ya nje umelemazwa.

Suluhisho

Teua Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea, na kisha uwezeshe Hifadhi kwenye Kum'mbu kwenye kila menyu.

KiKiKifaa cha kumbukumbu hakijaunganishwa kwenye kichapishi.

Suluhisho

Unganisha kifaa cha kumbukumbu, ambacho umeunda kabrasha la kuhifadhi faksi, kwenye kichapishi. Wakati faksi zimehifadhiwa katika kifaa, zinafutwa kutoka kwa kumbukumbu ya kichapishi.

Hakuna nafasi ya kutosha kwenye kifaa.

Suluhisho

Futa data isiyohitajika kutoka kwenye kifaa ili kuongeza kiwango cha nafasi huru. Au, unganisha kifaa kingine ambacho kina nafasi huru ya kutosha.

Kifaa cha kumbukumbu kimelindwa dhidi ya kuandikwa.

Suluhisho

Angalia iwapo kifaa kimelindwa dhidi ya kuandikwa.