FaksiFaksi Nyingi Taka Zimepokelewa

KipKipengele cha kichapishi cha kuzuia faksi taka hakijasanidiwa.

Suluhisho

Weka mipangilio ya Faksi ya Kukataliwa kwenye Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio Msingi.

Kuunda Mipangilio ya Kuzuia Faksi Taka