Leta faili iliyohamishwa Web Config kwenye kichapishi.
Unapoleta thamani zinazojumuisha maelezo binafsi kama vile jina la kichapishi au anwani ya IP, hakikisha kwamba anwani ile ya moja ya IP haipo kwenye mtandao sawa.
Fikia Web Config, na kisha teua kichupo cha Device Management > Export and Import Setting Value > Import.
Teua faili iliyohamishwa, na kisha uingize nenosiri lililosimbwa kwa njia fiche.
Bofya Next.
Teua mipangilio unayotaka kuleta, na kisha ubofye Next.
Bofya OK.
Mipangilio inatumika kwenye kichapishi.