Haiwezi Kutuma Au Kupokea Faksi (Windows)

Hakikisha kwamba kompyuta na kichapishi vimeunganishwa ipasavyo. Sababu na suluhu la tatizo hutofautiana kwa kutegemea iwapo vimeunganishwa au la.