Kichapishi hutumia kituo kifuatacho. Vituo hivi vinafaa kuruhusiwa kupatikana na msimamizi wa mtandao iwezekanavyo.
|
Mtumaji (Mteja) |
Matumizi |
Ufikio (Seva) |
Itifaki |
Nambari ya Kituo |
|---|---|---|---|---|
|
Kichapishi |
Kutuma faili (Wakati tambaza kwenye folda ya mtandao inatumika kutoka kwenye kichapishi) |
Seva ya FTP |
FTP (TCP) |
20 |
|
21 |
||||
|
Seva ya faili |
SMB (TCP) |
445 |
||
|
NetBIOS (UDP) |
137 |
|||
|
138 |
||||
|
NetBIOS (TCP) |
139 |
|||
|
Kutuma barua pepe (Wakati tambaza kwenye barua pepe inatumika kutoka kwenye kichapishi) |
Seva ya SMTP |
SMTP (TCP) |
25 |
|
|
SMTP SSL/TLS (TCP) |
465 |
|||
|
SMTP STARTTLS (TCP) |
587 |
|||
|
POP kabla ya Muunganisho wa SMTP (Wakati tambaza kwenye barua pepe inatumika kutoka kwenye kichapishi) |
Seva ya POP |
POP3 (TCP) |
110 |
|
|
Wakati Epson Connect inatumika |
Seva ya Epson Connect |
HTTPS |
443 |
|
|
XMPP |
5222 |
|||
|
Kukusanya maelezo ya mtumiaji (Tumia waasiliani walio kwenye kichapishi) |
Seva ya LDAP |
LDAP (TCP) |
389 |
|
|
LDAP SSL/TLS (TCP) |
636 |
|||
|
LDAP STARTTLS (TCP) |
389 |
|||
|
Uidhinishaji wa mtumiaji wakati wa kukusanya maelezo ya mtumiaji (Unapotumia waasiliani kutoka kwenye kichapishi) Uidhinishaji wa mtumiaji unapotumia folda ya kutambaza kwenye mtandao (SMB) kutoka kwenye kichapishi |
Seva ya KDC |
Kerberos |
88 |
|
|
WSD ya Udhibiti |
Komptyuta ya mteja |
WSD (TCP) |
5357 |
|
|
Tafuta kompyuta wakati utambazaji wa kusukuma kutoka Epson ScanSmart |
Komptyuta ya mteja |
Ugunduzi wa Mtandao wa Utambazaji wa Kusukuma |
2968 |
|
|
Komptyuta ya mteja |
Gundua kichapishi kutoka kwenye mafikio kama vile EpsonNet Config, kiendfeshi cha kichapishi, na kiendeshi cha kitambazaji. |
Kichapishi |
ENPC (UDP) |
3289 |
|
Kusanya na usanidi maelezo ya MIB kutoka kwenye programu kama vile EpsonNet Config, kiendeshi cha kichapishi, na kiendeshi cha kitambazaji. |
Kichapishi |
SNMP (UDP) |
161 |
|
|
Kusambaza data ya LPR |
Kichapishi |
LPR (TCP) |
515 |
|
|
Kusambaza data ya RAW |
Kichapishi |
RAW (Port 9100) (TCP) |
9100 |
|
|
Kusambaza data ya AirPrint (uchapishaji wa IPP/IPPS) |
Kichapishi |
IPP/IPPS (TCP) |
631 |
|
|
Kutafuta kichapishi cha WSD |
Kichapishi |
WS-Discovery (UDP) |
3702 |
|
|
Kusambaza data ya utambazaji kutoka Epson ScanSmart |
Kichapishi |
Utambazaji wa Mtandao (TCP) |
1865 |
|
|
Kukusanya maelerzo ya kazi wakati wa utambazaji wa kusukuma kutoka Epson ScanSmart |
Kichapishi |
Utambazaji wa Kusukuma wa Mtandao |
2968 |
|
|
PC-FAX |
Kichapishi |
HTTP (TCP) |
80 |
|
|
HTTPS (TCP) |
443 |